MICHEZO

NGASA AG'ANG'ANIWA NA MASHABIKI.

UMATI WA WATU ULIMSONGA MCHEZAJI WA ZAMANI WA ZAMANI WA YANGA NA AZAM BAADA YA KUTOKA SFRIKA YA KUSINI NA KUAMUA KURUDI KUCHEZEA TIMU ZA NYUMBANI KTIKA MCHEZO WA JANA ALIONEKANA KUITIMKIA NGOME YA SIMBA NA KUIPELEKESHA KWA KASI HATA NA HIVYO BAADAE NGASA ALITOKA NA NAFASI YAKE KUCHUKULIWA NA AYUBU SEMTWANA NA BAADAE KUTOKA NA SARE YA 2-2 BAADA YA MCHEZO HUO NYOTA HUYO ALISONGWA NA MASHABIKI WALIOTAK KUMSALIMIA NA KUMJULIA HALI

No comments:

Post a Comment